World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hali ni mbaya sana mwaka huu wa kombe la dunia,jana uholanzi ile waliponea chupuchupu aise australia waliwabana !!!!!na game pia walicheza duu ila natamani uholanzi ikutane na mjerumani looo game litakuwa balaa hilo
 
Germany wazuri kuliko Holland.
 
hali ni mbaya sana mwaka huu wa kombe la dunia,jana uholanzi ile waliponea chupuchupu aise australia waliwabana !!!!!na game pia walicheza duu ila natamani uholanzi ikutane na mjerumani looo game litakuwa balaa hilo

Ungeipeleka hii mada katika jukwaa husika ingependeza sana!
 
Afadhali ulivyokwenda kulala ila ulikosa kitu kimoja tuu wabeba vyuma wa Yaounde walitaka kupigana wenyewe kwa wenyewe uwanjani wakati game inaendelea

Doh, nilikuwa sijaipata hii issues. Lakini hii timu ya Cameroon ni dhahiri kuna kitu kinachowaumiza behind the scene. Jamaa wote walikuwa kama wameokotana mitaani, ukiingalia sio kama walikaa pamoja muda mrefu wakaoelewana, hawakucheza kitimu wala nini. Nakubaliana na mdau aliyesema timu za Afrika zipunguzwe tena. Hii itakuwa World Cup ya mwisho kufuatilia timu za Afrika hadi siku Taifa Stars ikiingiza mguu kama vile itatokea maishani mwangu lol.
 
Kwa jinsi Waafrika tulivyo, unaweza kukuta hizi njemba ziliibiana mademu au mmoja anajitapa kwamba alichezea timu kubwa za Ulaya kuliko mwenzake au ni maarufu kuliko mwenzake na asiambiwe/kukosolewa kitu

Huyo Ekotto nimeelewa kwanini Spurs hawamtaki

Jana Song alipopewa red card Malafyale alisema kwa mpira wa kwao inawezekana alichofanya Song sio kosa kubwa. Alisema jamaa wanaweza kumpiga refa uwanjani

Sasa nimeelewa kwanini Mala alikuwa anasema hivyo. Nidhamu wachezaji hawana kabisa
 
Doh, nilikuwa sijaipata hii issues. Lakini hii timu ya Cameroon ni dhahiri kuna kitu kinachowaumiza behind the scene. Jamaa wote walikuwa kama wameokotana mitaani, ukiingalia sio kama walikaa pamoja muda mrefu wakaoelewana, hawakucheza kitimu wala nini. Nakubaliana na mdau aliyesema timu za Afrika zipunguzwe tena. Hii itakuwa World Cup ya mwisho kufuatilia timu za Afrika hadi siku Taifa Stars ikiingiza mguu kama vile itatokea maishani mwangu lol.

Sometimes nimegundua sio kosa kuamua kutoshabikia timu za Africa
 
BREAKING: "If Cristiano Ronaldo plays in this World Cup, the injury could end his career." - Portugal's doctor
 
Back
Top Bottom