born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,336
- 1,491
Masaa saba kutoka sasa itabidi ubadilishe hiyo number tano yako
Before i delete England, first suggest the replacement
5.Uruguay / England1. Spain
2.Australia
3.Cameroon
4.Uruguay
5?
Kumbe [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamEngland]#TeamEngland [/URL] opponent wenu ni Japan.. Te te te umenichekesha sana mkuu
1. Spain
2.Australia
3.Cameroon
4.Uruguay
5?
5.Uruguay / England
6. Portugal / Ghana
7.Japan /Greece
Kumbe #teamengland opponent wenu ni Japan.. Te te te umenichekesha sana mkuu
Masaa saba kutoka sasa itabidi ubadilishe hiyo number tano yako
Hiyo post haizungumzii wapinzani wa #TeamEngland , hebu iangalie vizuri uielewe
Hints: Spain hakuwa kwenye kundi la England
Leo England anatoka.....time will tell
Kwenye list ya kuaga mashindano no.4 ni uruguay ambapo saa 4 baada ya dk90 atafungusha virago baada ya hapo ktk 24 hours zijazo atakayefuata kufungusha virago ni japan nadhani itakuwa saa9. Sasa kinachokuchekesha ni nini?
kinacho nichekesha ni kwamba kabla ya game ya japan vs greece itaanza game yenu yaani england vs portugal... Kwahiyo kama nyie ni majasiri na mnaamini mnachoongea basi mngesema kwamba atang'oka portugal kwanza kabla yenu lkn wewe umekimbilia japan, huoni kama upo wrong kimahesabu na kiratiba?
england vs portugal inatoka wapi kidogo tuwe makini basi
leo ni uruguay vs england,japan vs greece, colombia vs ivory coast.
lakini niko pamoja na wewe uingereza hakuna mpira kuna takataka tu leo watapigwa kwa wale wazee wa kuweka mzigo nawshauri wampe uruguay ,japan na colombia.i meant uruguay not portugal, thank u for noticing that
Mkuu katafute Live statistics za mechi, nakwambia Chile iliizidi spain kwa kucheza rafu tu..otherwise Spain walikuwa juu sana isipokuwa Hawakuwa na bahati ya kufunga.
Pili hali ya hewa ya Brazil himewaathiri sana Sain kuliko Chile.
Mwisho naomba matokea ya mechi ya Cameroon
lakini niko pamoja na wewe uingereza hakuna mpira kuna takataka tu leo watapigwa kwa wale wazee wa kuweka mzigo nawshauri wampe uruguay ,japan na colombia.
Mkuu Uruguay tayari ana nafasi yake number 4
5. Ninahisi anaweza kuwa Japan au Greece
I meant Uruguay not Portugal, thank u for noticing that
Nadhani England watashinda leo. Inavyoelekea Uruguay bila Suarez ni ziro. Hata hivyo sitoshangaa England wakitolewa, maana timu yao imejaa wachezaji wa magazetini na wenye egos.