World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kwa beki ya England, hata mbele nisimame mimi nawatoboa. Leo Cavani ndio atakae peleka kiturubahi cha msiba kwa Malikia.

England sio mbaya kihivyo mkuu,walicho shindwa na Italy ilikuwa ni kumdhibiti Pirlo asipeleke mipira kwa Marchisio na Condreva ambao wao watamuwekea Baloteli apige!!
 
Back
Top Bottom