World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

#TeamAfrica Jana watu walinisukumizia Kuwa Spain kilazima japo sio hehehe nimepata habari zao hehe Bantu lady ndio Captain
 
Leo nimekuja na Oxgen nipumue vizuri kila siku matokeo ya Africa Mabaya Leo haiwezekani watasikia Kelele zetu kutoka Jamiiforum mpaka Brazil.
 
Ivory Coast wanashinda hii game.

Ndugu yangu acha kabisa kuwadhamini hawa Ivory Coast!Hawa ni sawa na jamii ya wafugaji tu kuwapa dhamana Mahakamani na siku ya kesi kajisahau kaenda porini na mifugo yake akuachie wewe msala mbele ya Hakimu
 
Colombia warning up before the game! ImageUploadedByJamiiForums1403194736.432505.jpg
 
Hawa Colombia nao mbona sifa wanacheza Kama Pan African enzi zao!
 
Refa Webb anapenda sana kutoa kadi nyekundu,sidhani kama itakosekana leo
 
huwa tunajidanganya kukiwa Juwa kaliiiiii Africa inafanya vizuri Ah wapi asilimia kubwa wanacheza Ulaya jua baridi upepo akili tu ya mpira.
 
Back
Top Bottom