palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umecheki jamaa walivo na uchungu mpaka wanatoa choz yaani wameimba kwa hisia kali!
ukiona hivyo colombia hawatoki leo tunazaa nao!
Kwa beki ya England, hata mbele nisimame mimi nawatoboa. Leo Cavani ndio atakae peleka kiturubahi cha msiba kwa Malikia.
Hatuna majigambo kweli kwani hujui kinachotupata kila Africa inapocheza??Kweli mkuu. Ila humu memba hawajiamini sioni majigambo kwa mtu nyeusi!
Bora wewe umekuja na neno la faraja.Ivory Coast wanashinda hii game.
Hatuna majigambo kweli kwani hujui kinachotupata kila Africa inapocheza??
Kweli kabisa.Ivory Coast wanashinda hii game.