World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hiyo post haizungumzii wapinzani wa #TeamEngland , hebu iangalie vizuri uielewe

Hints: Spain hakuwa kwenye kundi la England

Hajaelewa list yako inamanisha nini kama England anaiweka no.5 maana yake uruguay na england watavuna point 0 wote? Sijui kwa matokeo gani sasa make droo tayari watakuwa na point moja moja.
 
Kwenye list ya kuaga mashindano no.4 ni uruguay ambapo saa 4 baada ya dk90 atafungusha virago baada ya hapo ktk 24 hours zijazo atakayefuata kufungusha virago ni japan nadhani itakuwa saa9. Sasa kinachokuchekesha ni nini?

Kinacho nichekesha ni kwamba kabla ya game ya Japan vs Greece itaanza game yenu yaani England vs Portugal... Kwahiyo kama nyie ni majasiri na mnaamini mnachoongea basi mngesema kwamba atang'oka Portugal kwanza kabla yenu lkn wewe umekimbilia Japan, huoni kama upo wrong kimahesabu na kiratiba?
 
kinacho nichekesha ni kwamba kabla ya game ya japan vs greece itaanza game yenu yaani england vs portugal... Kwahiyo kama nyie ni majasiri na mnaamini mnachoongea basi mngesema kwamba atang'oka portugal kwanza kabla yenu lkn wewe umekimbilia japan, huoni kama upo wrong kimahesabu na kiratiba?

england vs portugal inatoka wapi kidogo tuwe makini basi
leo ni uruguay vs england,japan vs greece, colombia vs ivory coast.
 
Kwahiyo hali ya hewa imewaathiri Spai peke yake? Basi tufanye hivi, hali hiyo hiyo ya hewa imewathiri pia Kameruni, Ghana, Algeria, na Uingereza, Japan, n.k.

Mkuu katafute Live statistics za mechi, nakwambia Chile iliizidi spain kwa kucheza rafu tu..otherwise Spain walikuwa juu sana isipokuwa Hawakuwa na bahati ya kufunga.

Pili hali ya hewa ya Brazil himewaathiri sana Sain kuliko Chile.

Mwisho naomba matokea ya mechi ya Cameroon
 
lakini niko pamoja na wewe uingereza hakuna mpira kuna takataka tu leo watapigwa kwa wale wazee wa kuweka mzigo nawshauri wampe uruguay ,japan na colombia.

Point mzee mm nishaweka mzgo nasikilizia tu nipate changu
 
Mkuu Uruguay tayari ana nafasi yake number 4

5. Ninahisi anaweza kuwa Japan au Greece

Nadhani England watashinda leo. Inavyoelekea Uruguay bila Suarez ni ziro. Hata hivyo sitoshangaa England wakitolewa, maana timu yao imejaa wachezaji wa magazetini na wenye egos.
 
I meant Uruguay not Portugal, thank u for noticing that

Angalia vizuri list ya jamaa uruguay kaiweka namba nne ndo mana mie nikasema namba anayefuata japan sasa nikiweka tena uruguay si itakuwa imetokea mara mbili ktk list moja. Au hujaelewa maudhui ya jamaa?
 
Nje ya Maada tafadhali

David Moyes has turned down seven jobs since being sacked by ManUtd on 22 April

Bqf-7S_CcAAzn4x.jpg
 
Nadhani England watashinda leo. Inavyoelekea Uruguay bila Suarez ni ziro. Hata hivyo sitoshangaa England wakitolewa, maana timu yao imejaa wachezaji wa magazetini na wenye egos.

Hata suarez akiwepo kipigo ni lazima!
 
Back
Top Bottom