Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Point mzee mm nishaweka mzgo nasikilizia tu nipate changu
Hahahahaha Duh!!!!Yaishe ndugu tuelekeze macho na masikio kwa Ivory coastKwahiyo hali ya hewa imewaathiri Spai peke yake? Basi tufanye hivi, hali hiyo hiyo ya hewa imewathiri pia Kameruni, Ghana, Algeria, na Uingereza, Japan, n.k.
I am in painBuuuuuuh!cc gutierez
I am in pain
I am in painWorld cup ya kipekee hii aisee gutierez upo?
I am in pain
Wale wa team 1000% elephant tujuane tafadhali
Wale wa team 1000% elephant tujuane tafadhali
Hilo chozi la mnyamwezi haliendi bure
Umecheki jamaa walivo na uchungu mpaka wanatoa choz yaani wameimba kwa hisia kali!