Huyu Webb anapendelea wazi wazi Colombia.
Yale majani ni chakula yao.kudadadaki jamaa wa Colombia wananguvu Toure kalazwa vile? Hawa jamaa wanakula Yale majani nini?
Hivi Tanzania hata refa hatujawahi toa kwa mashindano haya ya kombe la dunia au mashindano yoyote ya kimataifa?
C.c MEANDU.
Yani wachezaj wote wa ivorycoast wangekua wanacheza kwa jihad kama jamaa alie lia wangekua mbali
Hivi Tanzania hata refa hatujawahi toa kwa mashindano haya ya kombe la dunia au mashindano yoyote ya kimataifa?
C.c MEANDU.
elezea kidogo kwa mifanoHuyu Webb anapendelea wazi wazi Colombia.
Mhhh Africa hatuwezi kabisa kaunta ataki!!Mungu katubariki hapa
yule noma ndiyo mpira klosi dhidi ya japan
Ivory Coast inatakiwa ianze kumtafuta Yaya mwingine maana sidhani kama atakuwepo 2018 Urusi