Hawawezi kushinda ni kichwa cha mwenda wazimu!Bora wewe umekuja na neno la faraja.
hivi lile ni shoot ama...
Nasubiri Ivory cost nao wapigane.Africa kweli kama tumeenda kusindikiza
Yaani Pazi...Africa,England...unategemea maumivu yatakuisha kweli...?Karibu -Team Germany
Nasubiri Ivory cost nao wapigane.
Nahisi kalou kaja kutudhalilisha
hii mechi hizi dk zilizobaki colombia zinawasumbua sana
Hawa ivory cost hawawezi fika popote kwa huu mpira.hii mechi hizi dk zilizobaki colombia zinawasumbua sana
Yaandaliwe Mashindano ya Uchawi labda Africa wanaweza chukua kombe.