World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaandaliwe Mashindano ya Uchawi labda Africa wanaweza chukua kombe.
 
Waafrika tutacheza vizuri tukiwa na Wazungu pembeni tu. Kujionyesha tunaujua tukiwa na wazungu ndo kazi yetu, tukiwa wenyewe inakuwa ovyooooooooo
 
Hawa watu wangejua wanavyotuumiza sisi basi tu. Hivi nani kaniloga kila timu nishabikiayo haishindi
 
Back
Top Bottom