Wakuu hivi mm nimekosa nn kwa mola? Timu zangu zote kuanzia za Afrika zinapewa kichapo, basi hata team yangu kipenzi England nayo inakimbizwa kama mbwa mwizi, Hakika najiandaa kabisa kuacha kutazama hii mipira ya fitina,
England inakaribia mlango wa ICU.
Me tayari ishanikifu.Hii world cup ya mwaka huu hiii ..hatariiii
ndio yanakauka hivyoo..Team England mmeshafua mabegi kurudi kwenu.?
David Seaman Yule aliyetunguliwa kutokea Kisiwani yeye amesimamia Bara na Ronaldinho?England mnahitaji kuwa na kipa mzuri. Tangu David Seaman astaafu mmekuwa na mambulula tu golini. Joe Hart kamzidi Almunia kidoooogo.
Hahahaah,,,,,,,hawa wajukuu wa malkia wakalale tu.Nilisema mkifungwa nitarudi, haya vijukuu vya Lizzy habari ndio hiyo. Na mtafugwa mawili bado moja hapo, nyie team kufungwa msikimbie huu uzi.
Anasemaje?Simuelewi mkwasa hapa tbc1.
Inawezekana eeeh....!! Sijui kama atapokelewa huko england vizuri.LOL lazima kuna njemba zina visu na mapanga nje ya nyumba ya Suarez jijini Liverpool
utaunguza Jikoni rudi Jikoni(Natania) tuachie England DonDonald kanipa moyo itarudi.Nilisema mkifungwa nitarudi, haya vijukuu vya Lizzy habari ndio hiyo. Na mtafugwa mawili bado moja hapo, nyie team kufungwa msikimbie huu uzi.
Ndio simuelewi yupo na bakora na ubao kama anafundisha anaelezea statistics za mechi hata hazionekani.Anasemaje?
Simuelewi mkwasa hapa tbc1.
Me tayari ishanikifu.