World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Uruguay-v-England-007.jpg
Hii scene nimeipenda, ila British Channels haziwezi kuirusha hewani ..
 
Wakuu hivi mm nimekosa nn kwa mola? Timu zangu zote kuanzia za Afrika zinapewa kichapo, basi hata team yangu kipenzi England nayo inakimbizwa kama mbwa mwizi, Hakika najiandaa kabisa kuacha kutazama hii mipira ya fitina,

acha tu kutazama mpira.
 
Nilisema mkifungwa nitarudi, haya vijukuu vya Lizzy habari ndio hiyo. Na mtafugwa mawili bado moja hapo, nyie team kufungwa msikimbie huu uzi.
 
England mnahitaji kuwa na kipa mzuri. Tangu David Seaman astaafu mmekuwa na mambulula tu golini. Joe Hart kamzidi Almunia kidoooogo.
 
Yaani baada ya mashindano haya makocha watatupiwa virago sana
 
England mnahitaji kuwa na kipa mzuri. Tangu David Seaman astaafu mmekuwa na mambulula tu golini. Joe Hart kamzidi Almunia kidoooogo.
David Seaman Yule aliyetunguliwa kutokea Kisiwani yeye amesimamia Bara na Ronaldinho?
 
Nilisema mkifungwa nitarudi, haya vijukuu vya Lizzy habari ndio hiyo. Na mtafugwa mawili bado moja hapo, nyie team kufungwa msikimbie huu uzi.
Hahahaah,,,,,,,hawa wajukuu wa malkia wakalale tu.
 
Nilisema mkifungwa nitarudi, haya vijukuu vya Lizzy habari ndio hiyo. Na mtafugwa mawili bado moja hapo, nyie team kufungwa msikimbie huu uzi.
utaunguza Jikoni rudi Jikoni(Natania) tuachie England DonDonald kanipa moyo itarudi.
 
Uruguay-v-England-Group-D-019.jpg

In the 39th minute, Luis Suárez gives Uruguay the lead with a sweet header back across the face of goal. Phil Jagielka was exposed by the Edinson Cavani's cross to Suárez, who proved himself to be as deadly as ever

Uruguays-forward-Luis-Sua-020.jpg

Joe Hart was completely helpless ...

Uruguay-v-England-Group-D-022.jpg

We've seen that celebration many times before. He bagged 41 goals, including three headers, for Liverpool last season. So, it's 1-0 at half-time and, despite trading blows with Uruguay in entertaining fashion, England are in peril
 
Back
Top Bottom