World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nani anayebisha hapa!Greece anaungana na Colombia kutoka kundi hili hasa ukizingatia kuwa mechi ijayo beki Bamba hachezi atakuwa Kolo Toure

Hapo ndo tunabaki na Algeria tu kwa africa
 

Anayekataa weledi wa Pirlo kwenye soka ana kichaa cha mbwa lkn je atacheza pekee yake?
 
Last edited by a moderator:
Luis Suarez: "I dreamt this. I'm enjoying this moment, because of all I suffered, the criticism I received. So, there you go."
 
Die Serey his a real hero
huyu jamaa wakati wanaimba national anthem alikuwa analia siyo sababu ya uchungu wa taifa no baba ake passed away 2 hours before the game start but he still playing
RIP baba ake na Die

Hapana mkuu baba yake Serey Die alishafariki tangu 2004. Alikuwa na hisia tu kali kwa kucheza kombe la dunia.
 

Ungeulizwa wewe ungejibu nini? Acha kudandia treni kwa mbele kijana utaumia!!!!!!!!!
 
leo nina shaka kama France atamfunga Suisse
 

Leo nitakuwa naishangilia Switzerland.

Pogba akiwa Juventus anacheza kuingo pacha na Vidal au Marchisio (mmoja kushoto au kulia) nyuma katikati yao Pirlo, akiwaongoza na kuwasaidia vijana hawa
 
Jana niliwaambia mbuyu mwingine unaangushwa, watu wakachonga saaaaana. Sasa mbuyu umeangushwa haukuangushwa?
 
Soccer bad boy Mario Balotelli has asked for a special reward if his Italy team helps England stay in the World Cup – a kiss from the Queen.
The flamboyant star made the proposal on his Twitter account just minutes after the three lions had crashed to a 2-1 defeat against Uruguay.
Mario, who scored against England as Italy won the first game of Group D 2-1, said he wanted to receive the royal reward if his side win their game tomorrow.
He tweeted: “If we beat Costa Rica i want a kiss, obviously on the cheek, from the UK Queen”.
The cheeky comment went viral and was soon retweeted a staggering 85,000 times – with thousands of people responding.
Belgium skipper and former team mate Vincent Kompany was among those who replied to the colourful star, saying: “Wouldn't even surprise me.
Derek Wilson said: “If you do we will knight you to a Sir as well”
Duncan Moris replied: “Got to beat Costa Rica AND Italy for that, Mario. And by a clear 2 goals each.”
The former Manchester City striker, who is rumoured to be joining Arsenal in the summer, was referring to England now needing other results to go their way to ensure they stay in the competition.



Ha ha ha ha ha Baloteli nouma.

 
Mario Baloteli amesema endapo Italy wataifunga Costa Rica leo na kuisidia england kuendelea kuwepo,ataomba apigwe mabusu na malkia Elizabeth

Mkuu mie ni #TeamEngland naamini kabisa balotel na pirlo watatubeba kwa kumfumua bao nyingi costa rica na suarez, halafu vijana wa malkia wanamalza kesi kwa kujinyakulia point 3 kwa costa rica kiuraini tar 24.
 
Huwa anasema anachojisikia.

Hapo ndipo super balo .goals anapotukosha wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…