Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Tatizo umaliziaji wao,wanapata nafasi nyingi kufunga ndo shida,midfielders wao,pia sio wazuri,any way tuwatakie mema COTE D'IVOIRE
Nyie anzeni mie nafwata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo umaliziaji wao,wanapata nafasi nyingi kufunga ndo shida,midfielders wao,pia sio wazuri,any way tuwatakie mema COTE D'IVOIRE
Nani anayebisha hapa!Greece anaungana na Colombia kutoka kundi hili hasa ukizingatia kuwa mechi ijayo beki Bamba hachezi atakuwa Kolo Toure
View attachment 166052
Hujui ulisemalo.
Tena una bahati umeishi kipindi ambacho huyu kiumbe pekee kutoka ulimwengu mwingine yupo sayari hii akiwafunda kina Gerrard, Xavi, Yaya jinsi ya kuucheza mpira huku akiushangaza ulimwengu kwa namna anavyochanganya maarifa ya sayansi na art kutoa burudani ya aina yake pindi kila augusapo mpira.
You should embrace this moment, wenzako watakuja kusimuliwa tu makuu yake, vizazi na vizazi vijavyo.
Forza Pirlo
Forza Azzurri
cc: shifta, juve2012, Ziroseventytwo pachanya
Die Serey his a real hero
huyu jamaa wakati wanaimba national anthem alikuwa analia siyo sababu ya uchungu wa taifa no baba ake passed away 2 hours before the game start but he still playing
RIP baba ake na Die
ndugu yangu usipende kujidharaulisha,kwani mipira yote huwa inaoneshwa bar tu? unafahamu mipira pia huoneshwa kwenye hoteli za 5 star?,kwani lazima mipira mkaangalie bar,nyumbani huna TV? kwani ukipenda na mkeo akipenda mpira lazima wote mwende kuangalia bar? kwani we huwezi kwenda bar na mkeo akaangalia nyumbani? unajifichua mkuu kuwa huna mahali pa kuangalia mipira zaidi ya BAR.
Anayekataa weledi wa Pirlo kwenye soka ana kichaa cha mbwa lkn je atacheza pekee yake?
leo nina shaka kama France atamfunga SuisseEcuador sio tu anashinda bali anaingia round ya pili atamfunga France pia!
France kumtegemea Pogba pale kati badala ya Leo Mavuba na Blaise Matuidi ndiyo kunawamaliza!
Deschamp hajatambua kuwa Pogba anacheza vyema Juve sababu anazungukwa na wataalam!Hapa Pirlo;pale Vidal na nyuma yako yupo Marchisio hata Domayo angeng'aa tu
Ecuador sio tu anashinda bali anaingia round ya pili atamfunga France pia!
France kumtegemea Pogba pale kati badala ya Leo Mavuba na Blaise Matuidi ndiyo kunawamaliza!
Deschamp hajatambua kuwa Pogba anacheza vyema Juve sababu anazungukwa na wataalam!Hapa Pirlo;pale Vidal na nyuma yako yupo Marchisio hata Domayo angeng'aa tu
Mkuu aliye uza nyumba ni Tiote Ismail na wala sio mfiwa!
Baba amekufa bila kuliona pukupuku toka kwa Arsenal maana wanamtaka sana kijana huyu!
Mario Baloteli amesema endapo Italy wataifunga Costa Rica leo na kuisidia england kuendelea kuwepo,ataomba apigwe mabusu na malkia Elizabeth