We ndugu weweGeto kwangu
Sababu toka zamani ni Italy na rudi Italy England unazi wangu tu Kama Kina Kibunango kaonyesha Kama wangekuwa wachezaji wa Arsenal Kasema angekuwa England tehtehteh bora. DonDonald na England ni mshabiki wa kweli hamtizami mchezaji katokea timu gani yeye wewe unaifikiria kwanini Morinho na Juve wanashangilia Italy? Hata Belo kastukia kuna ushabiki wa unazi tu tehtehteh ila DonDonald mshabiki wa kweli.
Karibu nyumbani mkuu.karibu Azzuri.umekula huko ulikotoka?nahisi una njaa,ila njaa yako kali,maana tangu WC brazil ianze England hajakuzima njaa yako na kiu Mourinho leta espresso,ningependa umpe cappuccino,halafu baadae ale pizza,akishiba umpe tena caffe borgheti,anywe huku akiwatazama wanaume leo..teh teh!,bentornato a casa!
Pazi aliniambia ana mchumba muitaliano,nadhani atakuwa kafundishwafundishwa kidogo.hivi Pazi ulisema ni mchumba au ule jf wanaita "mche"?Ana tumbo lenye uwezo wa kupokea hivyo vitu? Asije akawa na utumbo uliozoea zege na wali harage akapewa dish nzito akaishia kung'aa sharubu kama Mrisho Ngasa alivyotia aibu alivyoenda kwa majaribio kule West Ham
Nasikitika leo nitashindwa kuiona Italy yangu maana muda huu wa saa moja ni mbaya kwangu.yaani hapa nimenywea hadi wenzangu wamenistukia dah!ushabiki mbaya sana.basi tena Mourinho na mabuluda wenzangu mtawakilisha,tutaonana kwenye mechi ya France.
Tunacheza namna hii
Buffon, Abate, Barzagli, Chiellini, Damian, De Rossi, PIRLO, Motta, Candreva, Marchisio na Balotelli
Nasikitika leo nitashindwa kuiona Italy yangu maana muda huu wa saa moja ni mbaya kwangu.yaani hapa nimenywea hadi wenzangu wamenistukia dah!ushabiki mbaya sana.basi tena Mourinho na mabuluda wenzangu mtawakilisha,tutaonana kwenye mechi ya France.
Mkuu umenichekesha sana hapo kwa Babu ulivyoweka Msisitizo...
Hawa watoto Costa Rica wanacheza vizuri sana kitimu...kale katoto kao mbele pale Joe kana usumbufu...Nafikiri apewe mtu wa kutembea nae kabisa...
Naona ushindi wa 2-0 leo...

Mpira umekwisha anza hali manusura Italy kuchafuke