World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sababu toka zamani ni Italy na rudi Italy England unazi wangu tu Kama Kina Kibunango kaonyesha Kama wangekuwa wachezaji wa Arsenal Kasema angekuwa England tehtehteh bora. DonDonald na England ni mshabiki wa kweli hamtizami mchezaji katokea timu gani yeye wewe unaifikiria kwanini Morinho na Juve wanashangilia Italy? Hata Belo kastukia kuna ushabiki wa unazi tu tehtehteh ila DonDonald mshabiki wa kweli.

Karibu nyumbani mkuu.karibu Azzuri.umekula huko ulikotoka?nahisi una njaa,ila njaa yako kali,maana tangu WC brazil ianze England hajakuzima njaa yako na kiu Mourinho leta espresso,ningependa umpe cappuccino,halafu baadae ale pizza,akishiba umpe tena caffe borgheti,anywe huku akiwatazama wanaume leo..teh teh!,bentornato a casa!
 
Last edited by a moderator:

Ana tumbo lenye uwezo wa kupokea hivyo vitu? Asije akawa na utumbo uliozoea zege na wali harage akapewa dish nzito akaishia kung'aa sharubu kama Mrisho Ngasa alivyotia aibu alivyoenda kwa majaribio kule West Ham
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika leo nitashindwa kuiona Italy yangu maana muda huu wa saa moja ni mbaya kwangu.yaani hapa nimenywea hadi wenzangu wamenistukia dah!ushabiki mbaya sana.basi tena Mourinho na mabuluda wenzangu mtawakilisha,tutaonana kwenye mechi ya France.
 
Pazi aliniambia ana mchumba muitaliano,nadhani atakuwa kafundishwafundishwa kidogo.hivi Pazi ulisema ni mchumba au ule jf wanaita "mche"?
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika leo nitashindwa kuiona Italy yangu maana muda huu wa saa moja ni mbaya kwangu.yaani hapa nimenywea hadi wenzangu wamenistukia dah!ushabiki mbaya sana.basi tena Mourinho na mabuluda wenzangu mtawakilisha,tutaonana kwenye mechi ya France.

Pole sana ndugu yangu, me naona kama muda hauendi niwaone Azzurri, Buffoni golini leo Mkuu
Utazipata updates zote hapa
 
Last edited by a moderator:
Tunacheza namna hii
Buffon, Abate, Barzagli, Chiellini, Damian, De Rossi, PIRLO, Motta, Candreva, Marchisio na Balotelli
 
Mkuu umenichekesha sana hapo kwa Babu ulivyoweka Msisitizo...
Hawa watoto Costa Rica wanacheza vizuri sana kitimu...kale katoto kao mbele pale Joe kana usumbufu...Nafikiri apewe mtu wa kutembea nae kabisa...
Naona ushindi wa 2-0 leo...
 
Nasikitika leo nitashindwa kuiona Italy yangu maana muda huu wa saa moja ni mbaya kwangu.yaani hapa nimenywea hadi wenzangu wamenistukia dah!ushabiki mbaya sana.basi tena Mourinho na mabuluda wenzangu mtawakilisha,tutaonana kwenye mechi ya France.

Pole sana Buluda mwenzangu..
Shifta sijui kapotelea wapi? Sijui yupo busy kule kwenye Usajili..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenichekesha sana hapo kwa Babu ulivyoweka Msisitizo...
Hawa watoto Costa Rica wanacheza vizuri sana kitimu...kale katoto kao mbele pale Joe kana usumbufu...Nafikiri apewe mtu wa kutembea nae kabisa...
Naona ushindi wa 2-0 leo...

Kuna mtu anaitwa Barzagli.akikabidhiwa huyo mtoto kweli mtamuona ni mjukuu anayefundishwa soka na babu yake dk zote 90.
 
Mkuu umenichekesha sana hapo kwa Babu ulivyoweka Msisitizo...
Hawa watoto Costa Rica wanacheza vizuri sana kitimu...kale katoto kao mbele pale Joe kana usumbufu...Nafikiri apewe mtu wa kutembea nae kabisa...
Naona ushindi wa 2-0 leo...

Ningemmwagia sifa mithiri ya zile ambazo shifta hummwagia Gaucho ila nashukuru umenotice hapo, huyo babu ni wa pekee, kama Gaucho na Zizzou naye awapo dimbani basi shughuli zote za mbinguni husimama kwa muda
Nadhani umeona leo mtu mzima Motta kakabidhiwa dimba, huku De Rossi kule Marchisio wakikamilishwa na baraka za PIRLO, sijui huyo kirikou atafukuta wapi
 
Last edited by a moderator:
Bulldog leo umepotelea wapi? Hakuna build up wala mapicha kuelekea huu mtanange au ndio unazi na Costa Rica?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom