World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Dk 30 balotel anakosa goli la wazi kwa kumpiga kipa kanzu fyongo iliyoenda pembeni ya goli.
 
Naona costa kwa kama dk 5 mpaka 6 wamelala usingizi na kuruhusu mashamulizi goilin kwao.
 
Naona Pirlo anavunja offside trap ya Costa Rica kwa pasi murua. Costa wakiendelea hivi watagongwa muda si mrefu
 
Costa wanamwamsha buffon kwa shut kali la mbali analip[anguwa dk 36
 
Kwa mpira wa Uingereza nna uhakika watafungwa na Costa Rica
 
Back
Top Bottom