Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Hii game tunatakiwa kushinda, unajua kwa nini? Kama tutatoa sare tutakuwa na point 4 sawa na costa rica. Urugua ana 3, game ya mwisho tunapiga nao. Kwao itakuwa fainal. Wakituchapa, costa rica wakapata hata sare tunatolewa.
Leo tunatoa droo tu ili #TeamMakelele warudi kisiwani kwao