Hii game tunatakiwa kushinda, unajua kwa nini? Kama tutatoa sare tutakuwa na point 4 sawa na costa rica. Urugua ana 3, game ya mwisho tunapiga nao. Kwao itakuwa fainal. Wakituchapa, costa rica wakapata hata sare tunatolewa.
Kwa kuwa napenda england naomba Costa wapigwe
Hawa Azzuri mbona hawaeleweki? Game imepooza mbaya. ...arrgh!
Tuko pamoja mkuu!
Hawa Azzuri mbona hawaeleweki? Game imepooza mbaya. ...arrgh!
Leo watu wapo wapi? Thread ipo slow kinoma
Watu wengi hapa Team Italy lkn wanaona mambo sio mazuri kwao
Dunia itamkumbuka Pirlo kwa muda mrefu sana!Huyu jamaa ana madambwidambwi mno