Safari imewadia!Safari baba safari
Hawa south americans ni hatari,hili kombe litavuka kweli Bahari ya Atlantic?
Hawa south americans ni hatari,hili kombe litavuka kweli Bahari ya Atlantic?
Timu za Africa zinashindwa hata na Timu za North America???. :angry: Africa why?
Upo hatimae weekend,ni hatari labda Holland atalivusha ila ni ngumuHata mi nina wasiwasi sidhani Kama niltavuka
kwa Mpango Huu Italian waongeze bidii la sivyo Balotteli hapati denda kutoka kwa Queen Elizabeth! Atachopata matusi kutoka Italiy.
mpango huu njaa naona itaendelea nimeleta ki nuksi tehtehteh. Mauwaji ya ki mafia bado kuanza jamani.Karibu nyumbani mkuu.karibu Azzuri.umekula huko ulikotoka?nahisi una njaa,ila njaa yako kali,maana tangu WC brazil ianze England hajakuzima njaa yako na kiu Mourinho leta espresso,ningependa umpe cappuccino,halafu baadae ale pizza,akishiba umpe tena caffe borgheti,anywe huku akiwatazama wanaume leo..teh teh!,bentornato a casa!
hahahahaha Botha alituambia sisi waafrica kazi yetu ni kuoa wake wengi na kufanya masherehe tu,hakukosea siku hizi kuna kitchen party hadi za wanaume,hhaha sijui vigodoro.Kaka hivi unajua kama Ngasa striker wetu ana wake 3 wa ndoa na mahawala wasio na idadi?Ahahahahahahha sasa hapo utacheza soka gani mkuu?
Hoya ukiona mada haukuhusu SI LAZIMA UCHANGIE, Watoto bwana.
Upo hatimae weekend,ni hatari labda Holland atalivusha ila ni ngumu