World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Timu za Africa zinashindwa hata na Timu za North America???. :angry: Africa why?
 
Hawa south americans ni hatari,hili kombe litavuka kweli Bahari ya Atlantic?

Kombe hili halivuko huko dada na nina ona dalili robo nusu fainali watakuwa wenyewe 4 wamebaki:Brazil,Argentina,Uruguay na Chile
 
Huyu refa anapendelea kweli,naona ngumi zinataka kupigwa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo
 
Timu za Africa zinashindwa hata na Timu za North America???. :angry: Africa why?

Kaka hivi unajua kama Ngasa striker wetu ana wake 3 wa ndoa na mahawala wasio na idadi?Ahahahahahahha sasa hapo utacheza soka gani mkuu?
 
kwa Mpango Huu Italian waongeze bidii la sivyo Balotteli hapati denda kutoka kwa Queen Elizabeth! Atachopata matusi kutoka Italiy.
 
Karibu nyumbani mkuu.karibu Azzuri.umekula huko ulikotoka?nahisi una njaa,ila njaa yako kali,maana tangu WC brazil ianze England hajakuzima njaa yako na kiu Mourinho leta espresso,ningependa umpe cappuccino,halafu baadae ale pizza,akishiba umpe tena caffe borgheti,anywe huku akiwatazama wanaume leo..teh teh!,bentornato a casa!
mpango huu njaa naona itaendelea nimeleta ki nuksi tehtehteh. Mauwaji ya ki mafia bado kuanza jamani.
 
Kaka hivi unajua kama Ngasa striker wetu ana wake 3 wa ndoa na mahawala wasio na idadi?Ahahahahahahha sasa hapo utacheza soka gani mkuu?
hahahahaha Botha alituambia sisi waafrica kazi yetu ni kuoa wake wengi na kufanya masherehe tu,hakukosea siku hizi kuna kitchen party hadi za wanaume,hhaha sijui vigodoro.
 
Pradelli anatakiwa kufanya mabadiliko. Amtoe Balotteli amekuwa mvivu pale mbele, haisaidii team. Aingie Ciro Immobile.

Game imeanza kipindi cha pili.
 
Back
Top Bottom