World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu kocha wa Costarica ana kichaa huyu!Kumtoa Joe Campbell ni kuwapunguzia mzigo Italy na sasa akina Abate wataanza kupanda mbele wakijua wapo salama
 
Hawa wachezaji wa Costa Rica hawana majina sana ila as a team wanajua kufanya kazi yao. Safi sana timu kama hizi, enzi za mpira wa pasi,pasi,pasi,pasi zimeisha siku hizi
 
Naona Italy hapa harudishi,ngoja nisubiri mpira wa wazungu wa ulaya,ingawa mimi ni France team mchanganyiko wa waarabu,waafrica wa subsahara na wazungu.
 
Naona Italy hapa harudishi,ngoja nisubiri mpira wa wazungu wa ulaya,ingawa mimi ni France team mchanganyiko wa waarabu,waafrica wa subsahara na wazungu.

Dada leo una hasara sana!France hii ya Pogba HAWEZI pata hata sare kwa Swiss
 
timu za ulaya hazina tofauti na timu za africa katika hili kombe la dunia.
 
England officially out .. sioni kama Italy watafunga mawili ktk dk 4
 
Masikini Italy ndo wasubiri miujiza.
 
Duh hii Game mshika kibendera atakuwa anaongoza kunyayua kibendera atalalamika hii kazi mkono kuuma.
 
Mliopo runingani tujuzeni!mie niko ndani ya basi tangu saa kumi na mbili asubuhi Mwanza-Dar!
 
Adolay,Dondonald na victoire nasubiri matokeo jamani-nipo kwa basi tangu alfajiri!
 
everlenk , dk ya 89 mud wa kawaida Ital 0 costa 1

hali siyo nzuri
 
Last edited by a moderator:
Dada leo una hasara sana!France hii ya Pogba HAWEZI pata hata sare kwa Swiss
Kweli kabisa,France naipenda balaa,naogopa hata kuangalia, maana wa swiss nasikia ni hatari sikucheck mechi yao ya kwanza,Hapa kina Italia wamenihuzunisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…