Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Italy wasiposhnda hapa,hawawezi kwa Suarez
Naona Italy hapa harudishi,ngoja nisubiri mpira wa wazungu wa ulaya,ingawa mimi ni France team mchanganyiko wa waarabu,waafrica wa subsahara na wazungu.
Italy hawana plan b kama Ghana vs USA
Mliopo runingani tujuzeni!mie niko ndani ya basi tangu saa kumi na mbili asubuhi Mwanza-Dar!
Kweli kabisa,France naipenda balaa,naogopa hata kuangalia, maana wa swiss nasikia ni hatari sikucheck mechi yao ya kwanza,Hapa kina Italia wamenihuzunisha.Dada leo una hasara sana!France hii ya Pogba HAWEZI pata hata sare kwa Swiss
Mliopo runingani tujuzeni!mie niko ndani ya basi tangu saa kumi na mbili asubuhi Mwanza-Dar!