Adolay,Dondonald na victoire nasubiri matokeo jamani-nipo kwa basi tangu alfajiri!
Adolay,Dondonald na victoire nasubiri matokeo jamani-nipo kwa basi tangu alfajiri!
Adolay,Dondonald na victoire nasubiri matokeo jamani-nipo kwa basi tangu alfajiri!
Italia kishalia goli moja,na hakuna dalili za kurudisha,na dakika zinayoyomaAdolay,Dondonald na victoire nasubiri matokeo jamani-nipo kwa basi tangu alfajiri!
England officially out .. sioni kama Italy watafunga mawili ktk dk 4
Kweli kabisa,France naipenda balaa,naogopa hata kuangalia, maana wa swiss nasikia ni hatari sikucheck mechi yao ya kwanza,Hapa kina Italia wamenihuzunisha.
Kwa maana hiyo England washapanda Pipa kurudi London.