World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Italy anatengenezewa mazingira ya kufunga virago, bado kimening'inia na mechi ya mwisho anafungwa vilevile.
 
Pongezi kwa Costa Rica kuingia hatua ya 16 bora.
 
Kweli kabisa,France naipenda balaa,naogopa hata kuangalia, maana wa swiss nasikia ni hatari sikucheck mechi yao ya kwanza,Hapa kina Italia wamenihuzunisha.

usiwe na wasiwasi defense ya france ni nzuri, france akifunga mawili ameshinda mechi.
 
Italy and England OUT!Media zinazipamba sana ligi za Ulaya!!Suarez anawapiga hawa Italy kama watoto
 
Mpaka sasa nimeamini mpira hautabiriki,Costa Rica ndo timu iliyokuwa inaonekana kibonde lakini imezitoa jasho timu kubwa tena zilizowahi kuchukua kombe la dunia.
 
everlenk tumeangukia pua, costa kashinda tujipange kwa mechi inayofuata.

Inawezekana maajabu ya Spain kurudi home yakaikumba Italy? tusubiri...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom