World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Thank you Costa Rica maana tulikuwa tuna wasubiri wajukuu wa malkia tuanze safari
Bye bye watalii wa fukwe za copa cabana
 

Attachments

  • 1403287459201.jpg
    91.1 KB · Views: 239
Huyu kocha wa Costarica ana kichaa huyu!Kumtoa Joe Campbell ni kuwapunguzia mzigo Italy na sasa akina Abate wataanza kupanda mbele wakijua wapo salama

Alifanya sub ya ujanja ili wajisahau wapande mbele afu wapigwe la counter attack.
 
Italy nae ajiandae maana Suarez hawachi hawa

Mkuu huwa nakuona kule uwanja wa nyumbani(Liverpool thread) naona vijana wetu tayari wamefurushwa sasa iv bora nimsapot kijana wetu suarez #teamuruguay . Balotel kaomba kiss kwa malikia, akaambiwa hata denda atapewa lakini ndo ivo kazi imemshinda!!
 
Mpaka sasa sijajua "Specialization" ya Afrika ni nini hapa duniani.


Mambo yetu ya vyumbani usipime walallah, kwasaana lakini kulea na kutunza hatujuwi.

Tangu enzi za babu zetu, watemi, watwa nk walijitwalia wake kila mmoja alivyohitaji

kwaleo Mswati bado anawakilisha fani hiyo.........................
 
Hili kombe la dunia la mwaka huu tutazidi kushuhudia mbwa akila mbwa kila siku!!
 
Mkuu huwa nakuona kule uwanja wa nyumbani(Liverpool thread) naona vijana wetu tayari wamefurushwa sasa iv bora nimsapot kijana wetu suarez #teamuruguay . Balotel kaomba kiss kwa malikia, akaambiwa hata denda atapewa lakini ndo ivo kazi imemshinda!!

Balloteli chizi
Liverpool nyumbani wacha tumpe support Suarez world class striker wakipita hii hatua golden boot FIFA waiandae kabisa
 
Kesho utasikia German anachezea kichapo kutoka kwa Ghana.
 
Hawa wajukuu wa watumwa wanaonekana wanapenda Uafrika lakini wanachukia Wafrika.
 
Wandugu wa morogoro ni kiwanja kipi ni mzuka kwa kucheki kombe la Dunia?

Nimekanyaga Moro muda kidogo..Ila nakumbuka kiwanja maarufu cha kuchek mpira kipindi hicho ilikuwa kwa jamaa anaitwa Juma Shaaban...Pale pembeni ya round about ya Masika opposite na Crdb bank,ndio watoto wa mjini wa Moro walitazama pale,Au Hilux Hotel pia nilikuwa naenda sana pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…