OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Italy 3 costa rica 1
humu kuna watoto wenzio?unahisi kama mnajipikilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Italy 3 costa rica 1
Huyu kocha wa Costarica ana kichaa huyu!Kumtoa Joe Campbell ni kuwapunguzia mzigo Italy na sasa akina Abate wataanza kupanda mbele wakijua wapo salama
Italy nae ajiandae maana Suarez hawachi hawa
Thank you Costa Rica maana tulikuwa tuna wasubiri wajukuu wa malkia tuanze safari
Bye bye watalii wa fukwe za copa cabana
Mpaka sasa sijajua "Specialization" ya Afrika ni nini hapa duniani.
Mkuu huwa nakuona kule uwanja wa nyumbani(Liverpool thread) naona vijana wetu tayari wamefurushwa sasa iv bora nimsapot kijana wetu suarez #teamuruguay . Balotel kaomba kiss kwa malikia, akaambiwa hata denda atapewa lakini ndo ivo kazi imemshinda!!
Wazungu si wanajidaigi kwamba wao ndo wanaoujua kuliko wengine. Aibu kwao sasa.
Hilo kapu la hanandes limenichekesha
![]()
Wandugu wa morogoro ni kiwanja kipi ni mzuka kwa kucheki kombe la Dunia?
watu mna dhambi loh!ndo kusema wataangalia kwenye sikirini mechi zote zilizobaki?
Mtani leo ulikuwa Costa rica?