World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Interesting,mechi nzuri.waswis hawakubali kushindwa,france nao wamecharuka,wote wanatupa burudani nzuri,this is how soccer should be played,ahsante sana,safi.
 
Ila hawa waswiz hutakiwi kuwapa goli hata moja, kwani wanakasi sana,ukiwapa goli unapandisha mizuka yao halafu unaishi kwa mashaka.team france mwendo mdundo
 
Jamani mlimuona yule kocha wa Costa Rica mzuka wake? Napenda sana makocha we ye mzuka...hata yule wa Chile naye mzuka wake ni balaa mpaka una enjoy kumuangalia.
Kocha wa Atlentico madrid ndo ananiachaga hoi
 
Hata Ng'ombe akonde vipi, hawezi fanana na mbuzi
We'll be back (soma kama Schwarzziniger)

Mie sina presha na Azuri yetu kabisaa.tangu nianze kuishabikia Italia,sikumbuki ni lini italia walipita kirahisi hatua za makundi za makombe haya makubwa.niambie wewe mkuu,lini italia iliwahi kukufurahisha hatua za makundi?najua watu tayari mmempa ushindi Uruguay,but let me tell you this,waitaliano siku zote wanasubiri maji ya shingo waanze kutapatapa.wanakera kweli ila ndio mwendo wao,ukiwa na presha usishabikie Azuri,tuachie wenye roho ngumu,sasa nasema hivi,subirini show ya mwaka na Uruguay,wana kazi ngumu!
 
Aiseee sipati picha itakuaje 16 bora maana zinauchu wa magori
 
Kombe la dunia kati ya makipa mahiri basi Lloris yumo top 2.
 
Jorge Luis Pinto praised Costa Rica for beating Italy to reach the last 16, before targeting a win over England.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…