Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Brazili itoe tu kwenye mahesabuNaona timu za S.America zinauchu ila sijui Brazil yetu itabadilika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brazili itoe tu kwenye mahesabuNaona timu za S.America zinauchu ila sijui Brazil yetu itabadilika
Kocha wa Atlentico madrid ndo ananiachaga hoi
Kocha wa Atlentico madrid ndo ananiachaga hoi
Mie sina presha na Azuri yetu kabisaa.tangu nianze kuishabikia Italia,sikumbuki ni lini italia walipita kirahisi hatua za makundi za makombe haya makubwa.niambie wewe mkuu,lini italia iliwahi kukufurahisha hatua za makundi?najua watu tayari mmempa ushindi Uruguay,but let me tell you this,waitaliano siku zote wanasubiri maji ya shingo waanze kutapatapa.wanakera kweli ila ndio mwendo wao,ukiwa na presha usishabikie Azuri,tuachie wenye roho ngumu,sasa nasema hivi,subirini show ya mwaka na Uruguay,wana kazi ngumu!
Ngoja nikutajie nyumba ndogo zangu zoote usinishangae huko mbele.Brazil,France,England,Ghana,Japan.
Benzema wanampa mapande,ila anayapoteza tu,kungekuwa hakuna kuzeeka du.Namkumbuka sana Zidane
Kuna mzee mmoja alikuwa kocha wa Argentina huyo alikuwa mwisho kwa mizuka.kuna highlights fulani wanamuonyesha akijikwaa na kuanguka kwa kuhangaika uwanjani.nimemsahau jina.
Pogba anaingia,ila naogopa asije akapata yellow
Hawa Waswiz anakera sana. Yaani mpira umewagomea kama Cameroon!"
Benzema wanampa mapande,ila anayapoteza tu,kungekuwa hakuna kuzeeka du.Namkumbuka sana Zidane