World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kocha wa Atlentico madrid ndo ananiachaga hoi

Kuna mzee mmoja alikuwa kocha wa Argentina huyo alikuwa mwisho kwa mizuka.kuna highlights fulani wanamuonyesha akijikwaa na kuanguka kwa kuhangaika uwanjani.nimemsahau jina.
 
BqmWrEoCIAEce75.jpg
 
Benzema wanampa mapande,ila anayapoteza tu,kungekuwa hakuna kuzeeka du.Namkumbuka sana Zidane
 
Mie sina presha na Azuri yetu kabisaa.tangu nianze kuishabikia Italia,sikumbuki ni lini italia walipita kirahisi hatua za makundi za makombe haya makubwa.niambie wewe mkuu,lini italia iliwahi kukufurahisha hatua za makundi?najua watu tayari mmempa ushindi Uruguay,but let me tell you this,waitaliano siku zote wanasubiri maji ya shingo waanze kutapatapa.wanakera kweli ila ndio mwendo wao,ukiwa na presha usishabikie Azuri,tuachie wenye roho ngumu,sasa nasema hivi,subirini show ya mwaka na Uruguay,wana kazi ngumu!

Grazie Mister
 
Kuna mzee mmoja alikuwa kocha wa Argentina huyo alikuwa mwisho kwa mizuka.kuna highlights fulani wanamuonyesha akijikwaa na kuanguka kwa kuhangaika uwanjani.nimemsahau jina.

Marcelo Bielsa anaitwa,goooo Benzema la 4
 
Hawa Waswiz anakera sana. Yaani mpira umewagomea kama Cameroon!"
 
Masikini Uswiss wanataka kufanywa kama Spain hawa mmmh!! Afadhali sina timu hapa leo. Presha tupu
 
Back
Top Bottom