Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Interesting,mechi nzuri.waswis hawakubali kushindwa,france nao wamecharuka,wote wanatupa burudani nzuri,this is how soccer should be played,ahsante sana,safi.
Kocha wa Atlentico madrid ndo ananiachaga hoiJamani mlimuona yule kocha wa Costa Rica mzuka wake? Napenda sana makocha we ye mzuka...hata yule wa Chile naye mzuka wake ni balaa mpaka una enjoy kumuangalia.
Italy hawana plan b kama Ghana vs USA
Hata Ng'ombe akonde vipi, hawezi fanana na mbuzi
We'll be back (soma kama Schwarzziniger)
updates plz!!!!!
We sio mtu mzuri, umepotea match nzima unajitokeza saa hizi!!!
Mimi mkuu!@Team Costarica
Kocha wa Atlentico madrid ndo ananiachaga hoi
Sijui Bulldog leo kaenda wapi!!
Umehamia France?
Aiseee sipati picha itakuaje 16 bora maana zinauchu wa magori