World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kocha wa Atlentico madrid ndo ananiachaga hoi

Kuna mzee mmoja alikuwa kocha wa Argentina huyo alikuwa mwisho kwa mizuka.kuna highlights fulani wanamuonyesha akijikwaa na kuanguka kwa kuhangaika uwanjani.nimemsahau jina.
 
Benzema wanampa mapande,ila anayapoteza tu,kungekuwa hakuna kuzeeka du.Namkumbuka sana Zidane
 
Grazie Mister
 
Kuna mzee mmoja alikuwa kocha wa Argentina huyo alikuwa mwisho kwa mizuka.kuna highlights fulani wanamuonyesha akijikwaa na kuanguka kwa kuhangaika uwanjani.nimemsahau jina.

Marcelo Bielsa anaitwa,goooo Benzema la 4
 
Hawa Waswiz anakera sana. Yaani mpira umewagomea kama Cameroon!"
 
Masikini Uswiss wanataka kufanywa kama Spain hawa mmmh!! Afadhali sina timu hapa leo. Presha tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…