Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni goli 6 au?
Jamani goli ni 5 au 6?hilo la mwisho limehesabiwa au kipenga kilishapulizwa?
Jamani goli ni 5 au 6?hilo la mwisho limehesabiwa au kipenga kilishapulizwa?
Hivi ni goli 6 au?
yeah, Waswizi wamekula Six Oclock! Kumbe bora hata Spain!
Goals ni 5 - 2....Goal la 6 limekataliwa.
TEAMfrance mnabahati sana!
Tehtehteh Leo umechemsha ndio unajifanya huna timu wakati Jana ulisema Swiss Kubali tu Leo Cheese,Saa,Chocolate,Ngo'mbe ,maziwa yameharibika Swiss, Juve2012 ah France siipendi na imeshinda kila nachoshangilia timu inafungwa ila na hope sasa hivi itashinda Ecoudor #TeamEcuador tujuwane mapema sie baadae oh sikuwa na timu hapo.Umeonaee wamebahatisha sana sana, japo leo sikuwa na timu. Ngoja waingie 16 wataona cha moto huko. Tupo hapa
Mtani ulikuwa france?Goli mpaka mwisho ni 5 tu, liliingia la 6 mpira ukiwa umeshakwisha.
Wana bahati lilikuwa la sita, refa angeuchuna kidogo
Tuna kosa pesa za betting bure ah inayokuja ngapi #TeamEcuadorChapa jogooo mmeisoma bila shaka,5 leo!