World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani goli ni 5 au 6?hilo la mwisho limehesabiwa au kipenga kilishapulizwa?
 
Ila nijuavyo watu wanapokuwa kwenye move ya goli unasubiri wamalizie jamani au sio?huyu refa hajawa fair goli la sita lile!
 
ngoja niwaangalie Ecuador na Honduras,nijue France tunasimamia wapi.en tout cas,well done Franca,jogoo team
 
Umeonaee wamebahatisha sana sana, japo leo sikuwa na timu. Ngoja waingie 16 wataona cha moto huko. Tupo hapa
Tehtehteh Leo umechemsha ndio unajifanya huna timu wakati Jana ulisema Swiss Kubali tu Leo Cheese,Saa,Chocolate,Ngo'mbe ,maziwa yameharibika Swiss, Juve2012 ah France siipendi na imeshinda kila nachoshangilia timu inafungwa ila na hope sasa hivi itashinda Ecoudor #TeamEcuador tujuwane mapema sie baadae oh sikuwa na timu hapo.
 
Back
Top Bottom