Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Tehtehteh Leo umechemsha ndio unajifanya huna timu wakati Jana ulisema Swiss Kubali tu Leo Cheese,Saa,Chocolate,Ngo'mbe ,maziwa yameharibika Swiss, Juve2012 ah France siipendi na imeshinda kila nachoshangilia timu inafungwa ila na hope sasa hivi itashinda Ecoudor #TeamEcuador tujuwane mapema sie baadae oh sikuwa na timu hapo.
Umeonaee wamebahatisha sana sana, japo leo sikuwa na timu. Ngoja waingie 16 wataona cha moto huko. Tupo hapa
Naona umeshadandia lift ya Peugeot 505. Land rover 110 limekufa nini? Hivi Land rover Defender liliitwa ki michezo(soka) nini?
Umeonaee wamebahatisha sana sana, japo leo sikuwa na timu. Ngoja waingie 16 wataona cha moto huko. Tupo hapa
Yaani ninaisubiri kwa hamu sana sana....... gemu ya Italy Vs Uruguay......
Mtani ulikuwa france?
Mkuu hii picha ya 31/1/12
Bantu lady Kama kuandikia Chalk huwezi waachie wenzako wewe type tu hehehehe Grele hehehehe unaweza kucheka ukavunjika ULIMI wakakuwekea piopio ya ulimi mitandao Ina mambo only in TAnganyika duh.Karibuni Uswazi tucheki game
Yaani ninaisubiri kwa hamu sana sana....... gemu ya Italy Vs Uruguay......
kama una bet weka ushindi kwa Uruguay 3-0. Suarez(1), Cavani(2) Jinsi ilivyo mwaka huu lazima wa-ulaya wafungashe mwanzoni.
Hivi Bantu lady unafuatilia timu gani?
Hawajaijua vizuri Italia hawa.
#TeamAzzurri Camp mpo?Taratibu rubaman, Italia sio jamvi la wageni kama hao malkia wa kumwaga mauno, tafadhali Mkuu
Mimi sikupendelea hawa uswiswi wafungwe 6 kwa sababu sikuhitaji record ya spain ivunjwe na timu yoyote
Wewe rubaman subiri mtu akipiga goli mwanzo akaona wapi Kunauhai Utasikia Bantu lady yeye timu gani anachunguza speed ya game ngoja timu ipige 2-0 wawe na speed atasema timu yake mara dk 88 iwe 2-1 dk 90 2-2 na 90+ ziwe 3-2 tuone ile alioirukia 3-2 mapema inakuwaje? Hehehe wengine tuna fanya Fujo timu zetu tunaenda kuzipokea Airport week hii zishatoka.Hahahahaaa bado hujanielewa eeh rubaman ni hivi, mimi mwili wangu na roho yangu yote ni #teamBrazil #
Hizi timu zingine nashabikia kimkopo tu.
Bantu lady Kama kuandikia Chalk huwezi waachie wenzako wewe type tu hehehehe Grele hehehehe unaweza kucheka ukavunjika ULIMI wakakuwekea piopio ya ulimi mitandao Ina mambo only in TAnganyika duh.