Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Tehtehteh Leo umechemsha ndio unajifanya huna timu wakati Jana ulisema Swiss Kubali tu Leo Cheese,Saa,Chocolate,Ngo'mbe ,maziwa yameharibika Swiss, Juve2012 ah France siipendi na imeshinda kila nachoshangilia timu inafungwa ila na hope sasa hivi itashinda Ecoudor #TeamEcuador tujuwane mapema sie baadae oh sikuwa na timu hapo.
Hahahahahahaaaa nimecheka wee Pazi hebu acha fujo. Jana nilisema saa ngapi, kiukweli siku ilipocheza na Ecuador nilikuwa Uswiss.
Haya basi nimeumia ufurahi, ila wewe pole sana maana una majanga kama mtani wangu Ruttashobolwa kila timu anayoshabikia inakuwa nehii.
Last edited by a moderator: