World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ecuador atakamilisha teams zote za America Kusini kuingia round ya pili
 

ni ghana au?
 
Baada ya mechi ya Hondurus na Ecuador Jumla ya Goli 77 zimefungwa katika 2014 WC. mpaka sasa. What a score! Nadhani Mwaka huu waweza vunja record ya magoli mengi.
 

Moderators tuwekeeni na matokeo katika hayo makundi yenu badala ya kuonyesha tu point.Wengine huwa tunakosa kutazama na kupata matokeo ya mechi nani kafungwa magoli mangapi. Chini ya kila mechi onyesheni na magoli pia yaliyopatikana na wengine tuweke records.
 
Piga ua My France inabidi amfunge Ecuador,ili aongoze kundi,ili kumkwepa Argentina.Maana najua Argentina lazima aongoze kundi lake
 
Natamani Argentina atolewe,ili atusafishie njia France

Anatolewa hilo halina ubishi, historia inaonyesha hizi timu zimewahi kucheza mara moa tu na walitoka suluhu ya 1-1, ila kwa sasa Ian ni wabora zaidi ukizingatia trend ya michuano hii....
 
Naona umekimbia kambi mkuu MEANDU nilikwambia leo mnachezea kichapo kutoka kwa costarica halafu suarez anakuja kuwamalizia. Costarica ya kwanza ikifuatiwa na suarito

Hahahahaah hongera zako. sijakimbia nilitoka nikaenda kuangalizia mpira sehemu nyingine ambapo sikuwa online. ukiona natoa live comments hapa ujue naaangalia online.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…