World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mimi si mpenzi wa Mu lakini goli la Vanpersie linastahili kushindania magoli bora ya world cup 2014, goli zuriiiiiiii!
 
Sina shaka goli la Robin Van pasie ni goli bora la msimu huu wa World cup 2014
 
Naona Mkuu hapo sasa umeolewa Wewe na siyo yeye tena! Spain wanakosa goli LA pili hapa! Mkuu kwenye michepuko ulikuwa unatisha nini?

hahahaaah,,,,,,,,,mkuu wala sitishi sana.
 
kwangu mimi goli la vanpersie ndio goli bora la world cup japo mechi nyingi hazijachezwa!
 
Van Persie ana akili sana, kapiga kichwa kama cha kocha wake Kruivert.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…