reynod
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 386
- 373
jamaa simpendi lakin kafunga bonge la goliVan persieeeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa simpendi lakin kafunga bonge la goliVan persieeeeeeee
Ile ndio kazi yake Boss wa Tanzania hakai ofisini anaweka wino tu kile kichwa Kama mpira unataka kutoka nje.
mtoto sumu huyoo
Hivi van persie yumo humu ndani?
Katavi huyo wife ni huyu huyu nimjuae mimiWhat a miss david Silva
Naona Mkuu hapo sasa umeolewa Wewe na siyo yeye tena! Spain wanakosa goli LA pili hapa! Mkuu kwenye michepuko ulikuwa unatisha nini?
Mimi si mpenzi wa Mu lakini goli la Vanpersie linastahili kushindania magoli bora ya world cup 2014, goli zuriiiiiiii!