Van Persie ana akili sana, kapiga kichwa kama cha kocha wake Kruivert.
Izo mbegu za kiume tutoe sisi au wao?
kwangu mimi goli la vanpersie ndio goli bora la world cup japo mechi nyingi hazijachezwa!
Sina shaka goli la Robin Van pasie ni goli bora la msimu huu wa World cup 2014
leo ni siku ya kuchepukanikirudi saa kumi mama namwambia nilikuwa naangalia mpira...
. kuna Player anaitwa DonDonald na Rubaman au Ntuzu Hiyo nafasi wao wangetaka kutuliza kifuwani wangetuliza kifuwani hawa niliwataja mpira ungefika mikononi mwa kipa taratibu bad touch hehehehe ila Mie hapo ningepiga mkasi mpira nyavuni( I Wish) na Dream hehehehe.
waache wabrasil waitwe wabrasil..mimi n shabiki wa brasil na nmeanza kuifuatilia spirit ya ile timu kwa kipind kirefu kidogo..kwa mechi ya jana dhidi ya crotia,brazil ilicheza mpira wa kawaida sana..Ila kama ww ni mfuatiliaj wa sambaboyz hawa jamaa wanacheza mpira kutokana na timu wanayokutana nayo!!!scolar na paleirra n makocha wazoefu sana na wenye akili nying kimpira..sidhan kama mechi na Mexico watacheza mpira kama wa jana kwa kua kuna kasoro za kiufund nmeliona kwa mchezaji paulinho ambalo naamin limeigharim brasil Kwenye mech ya jana..endapo wataanza watu kama fernandinho na willian katika 1st eleven na kumpuzisha paulinho na hulk aisee tutegemee kuiona Brazil ktk sura nyingine...UTABIRI wangu hata Brazil asipokuwa bingwa naamin kombe alirud ULAYA tena!!!!tuonane mechi ijayo ya brasil dhid ya Mexico
#TeamHolland tujuane humu ndani.
Hili goli alilofunga Van Persie linanikumbusha magoli yangu niliyokuwa ninafunga School Pazi
Mwache achelewe amkute Huyo Mama kapata Baba.michepuko sio dili
Huyo huyo shemeji Heaven on Earth......hahahaah.
#TeamHolland tujuane humu ndani.
Mapema mno mkuu, bila shaka kuna uhondo zaidi.