World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sasa walivyo wapuuzi wataanza ku relax...afu watapoteza game. Wanatakiwa wakaze mwanzo mwisho!
 
Nigeria wanafurahisha sana na uchezaji wao, itakuwa poa sana wakishinda mechi hii.
 
Kweli watapona hawa wa Nigeria kwa jinsi wanavyocheza! Hawanifurahishi hata! Wananikumbusha timu zetu za Bongo.
 
Msaliti Ibrahimovic angeteam up vizuri na Dzeko ..
 
Hawa nigeria vp mbna wanaachia nafasi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…