Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukabaji wa Nigeria siyo mzuri kabisa...
I think hawa jamaa Bosnia wakipata nafasi watasawazisha Goli!!Nigeria Hawaii serious sana
Emenike leo ana gemu nzuri sana
Amafufu?
Mkuu hujakosea kabisa,niko juu ya sofa iliyotengenezwa kwa magodoro sebuleni kwangu, nawatazama akina Sammy Kuffor,Shaun Bartlett,Jay Jay Okocha na wenzao wa Supersport wakiuchambua huu mchezo,wakionyesha highlights za mchezo,wakionyesha reaction za waghana huko kwao kila goli lilipofungwa,etc.nakumbuka picha za mwisho uwanjani zilimwonyesha Muller akiwa kalala chini anavuja damu,huku Andre Ayew akiwa amekaa chini analia,sasa hivi wanamwonyesha Gyan akihojiwa.mkuu soka ni sehemu kubwa ya maisha yangu.i've been watching these games live since world cup 1990,sasa jiulize kama miaka hiyo bongo kulikuwa na any live coverage ya WC!na nimeucheza mpira hadi nimechoka Mourinho