World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ukabaji wa Nigeria siyo mzuri kabisa...

Washambuliaji wa Bosnia nao hawako vizuri sana leo
Ila Nigeria leo wametulia kidogo wanacheza mpira wa kueleweka siyo kama juzi ilikuwa ni kimbiza mwenge na butuabutua
 
  • Thanks
Reactions: BPM
Kwa staili hii nigeria wanakaribisha mashambulizi
 
Mkuu hujakosea kabisa,niko juu ya sofa iliyotengenezwa kwa magodoro sebuleni kwangu, nawatazama akina Sammy Kuffor,Shaun Bartlett,Jay Jay Okocha na wenzao wa Supersport wakiuchambua huu mchezo,wakionyesha highlights za mchezo,wakionyesha reaction za waghana huko kwao kila goli lilipofungwa,etc.nakumbuka picha za mwisho uwanjani zilimwonyesha Muller akiwa kalala chini anavuja damu,huku Andre Ayew akiwa amekaa chini analia,sasa hivi wanamwonyesha Gyan akihojiwa.mkuu soka ni sehemu kubwa ya maisha yangu.i've been watching these games live since world cup 1990,sasa jiulize kama miaka hiyo bongo kulikuwa na any live coverage ya WC!na nimeucheza mpira hadi nimechoka Mourinho

Mkuu wangu kutokana na maendeleo ya teknolojia, siku hizi kila mtu anaweza ku-air opinions zake hata kama ni shudu tu.
Wachukulie poa tu, hawajui walitendalo.
 
Last edited by a moderator:
Huree.. ushindi # 2 kwa Africa & counting... timu ingine ya Ulaya Out
 
Sina imani na kiwango cha Nigeria km watafika mbali zaidi.
 
Back
Top Bottom