World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

AMKENI TUANZE kuchoma nyama iive kabla ya mechi nzuri ya kwanza Russia na Belgium
 
BqtTi3mCEAALLEO.jpg
 
Kwa kiwango cha leo sidhani kama ataingia!
Iran atamfunga Bosnia na Nigeria atachapwa mbaya na Argentina!!
Nahisi Iran atapita

Gemu sikuangalia lakini Nigeria wana kipa mzuri kama Iran ambaye si rahisi kufungika

Nigeria hawana mashambulizi ya kustukiza sababu huwa hawapaki basi

Kumbuka Nigeria mpaka sasa hawajafungwa goli lolote na wanapointi 4

Iran akimfunga Bosnia atakuwa na pointi 4 hivi anatakiwa asiruhusu goli lolote kwenye wavu wake, Je inaweza kutokea? labda tusubiri maajabu ya Highighi kutokea...!

Argenintina kumfunga Nigeria kwa kichapo kibaya sidhani sababu Argentina si wazuri kwenye finishing kwa hizi mechi mbili zilizopita hope yao nzima ipo kwa genius messi

85% Nigeria anaingia 16 bora
 
Back
Top Bottom