Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeshaisha,Nigeria 1-Bosnia 0Mnaoangalia bado dk ngap
Bosnia wakiwafunga Iran basi Nigeria hata wafungwe na Argentina wanakuwa wamepitasasa na Argentina sijui itakuwaje
Bosnia wakiwafunga Iran basi Nigeria hata wafungwe na Argentina wanakuwa wamepita
Haya ma mechi hata hayaeleweki aisee
umeshaisha,Nigeria 1-Bosnia 0
kwa hii kazi,Boateng hawezi kumkaba ile kisawasawa Prince,huoni kocha alimtoa
Timu za southern America zipo vizuri..
Halafu wewe !!!
Hahaaa tusubiri tena timu zote wanazodai kali zilizotoka raundi hii unaweza kuta zipo top10
Klose ameniharibia usiku wa leo..
Team Germany upo? Hahahhahah
Kwa kiwango cha leo sidhani kama ataingia!
Iran atamfunga Bosnia na Nigeria atachapwa mbaya na Argentina!!
Nahisi Iran atapita