World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Timu za afrika hata zikipita na kuingia katika 16 bora hamna la maana zitalaloleta zaidi ni aibu tu.

Fifa hawaamini ushindi wa Costa Rica kwa mechi zao,juzi walipoifunga Italy mechi ilipoisha wakaenda kuwapima wachezaji wa Costa Rica ili wajue kama walitumia madawa ya kuongeza nguvu yaani hawaamini
 
Hawana kipimo cha kuonyesha wachezaji wakiwa wamefanya ngono kabla ya mechi? Hiki kingewahusu sana cameroon hasa Etoo Filsi mboni
 
Portugal akikaa ni majanga kwa Ghana sasa...afadhali USA ndo wakae au watoke droo.

kweli maana akishinda mmarekani anakuwa amefuzu,mechi ya mwisho anaweza regeza kwa Germany na hivyo mjeruman nae kufuzu.sare ndio inayotakiwa leo ili Ghana awepowepo.
 
Fifa hawaamini ushindi wa Costa Rica kwa mechi zao,juzi walipoifunga Italy mechi ilipoisha wakaenda kuwapima wachezaji wa Costa Rica ili wajue kama walitumia madawa ya kuongeza nguvu yaani hawaamini

FIFA ni wasenghe sana, pamoja na kwamba team yangu Azzurri walifungwa na Costa Rica lakini sijapenda kitu FIFA wamefanya. Hii yote ni presha ya wadhamini baada ya kuona vigogo wakiadabishwa na madogo.
 
Hivi yule dogo wa Man Utd Adnan Januzaj hakuitwa timu ya taifa Belgium... au ndo aliukana uraia coz nilisikia anautaka wa England.
 
Bonge ya game!akichapwa Russia ndiyo ahueni zaidi kwa Algeria
 
FIFA ni wasenghe sana, pamoja na kwamba team yangu Azzurri walifungwa na Costa Rica lakini sijapenda kitu FIFA wamefanya. Hii yote ni presha ya wadhamini baada ya kuona vigogo wakiadabishwa na madogo.

FIFA wapuuzi sana...!
 
Hawana kipimo cha kuonyesha wachezaji wakiwa wamefanya ngono kabla ya mechi? Hiki kingewahusu sana cameroon hasa Etoo Filsi mboni

Hivi ni kweli dada yetu Mboni alikamata fursa kwa Eto'o?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…