Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
nakuunga mkono,
Cameroon walikuwa wanadai posho lakini wametutia aibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuunga mkono,
Hivi Tanesco mna laana?
kila mnyonge ana mnyonge wake
Hivi Tanesco mna laana?
Hapana, mwamuzi ni dakika tisini uwanjani; hizo nafasi za upendeleo hazipo kwenye soka, zipo tu kwa wabunge wa viti maalum Tanzania. Kama kuna watu huwaoni Brazil, mfano taifa letu, ni kwamba walikuwa wasindikizaji tu...timu zetu tano zilizopo huko zinawakilisha bara la Afrika si waarabu! Wakifanya vizuri, nafasi zitaongezeka msimu ujao.Inabidi kuwe na sheria katika timu 5 timu za Afrika 2 lazima ziwa za Waarabu hawa jamaa at least wako serious sisi ngozi nyeusi hatuko serious kabisa
Hao ndo algeria hapo kakosekana benzema,nasri,ben arfa na babu yao zizzou
Nafasi ya Cameroon angeenda Misri. Naunga mkono hoja
ya mzee lowasa ama?
Ha ha ha ha ha...wangetisha!
Hongera Algeria....Ila mm toka ile siku ya kwanza nilijitoa kushabikia timu za Africa..
Aljeria tutoeni. Kimasomaso..
Algeria wazuri sana watafika mbali.