World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Subir nitegeshe alarm iniamshe saa 7 kamil hii mech ya sasa nshaona inapoelekea itantolea mzuka wa mech ijayo bure
 
Mh!hali imeanza kuwa ndivyo sivyo tena dah!Algeria please,please,please,niko chini ya miguu yenu natambaa kabisa jamani,hebu rudisheni tempo ile ya kipindi cha kwanza!
 
Wamekutana na kibombe ila wameonyesha mpira nzuri, pasi za uhakika na magoli yake. Bravo
 
Subir nitegeshe alarm iniamshe saa 7 kamil hii mech ya sasa nshaona inapoelekea itantolea mzuka wa mech ijayo bure

Mbona unakuwa na moyo wa glass aisee,hebu tulia hapo kitini,tumekosa goli la nne!
 
Back
Top Bottom