World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


Aisee hata mimi nimeliangalia lile goli kwa mtazamo tofauti. sometimes hadi nashawishika kuona RVP kama anatumia uchawi flani vilee!!
 

Mkuu naelewa sana, ngazi zote wakati nasoma nilikuwa goalkeeper, RVP hilo goal katumia akili sana kufunga.
 
Holland wananipa raha jamani.
 
Lile goli ametumia akili ya kiuchezaji na pia hakuwa na papara. Wachezaji wengi hapa duniani katika nafasi ile ile kama ya VP wasingefunga lile goli Netherlands 2 Spain 1


 
La pili arjen robben,,,,,,,,,hawa spain wameanza kuniudhi sasa,,,,,,,,nahamia kuwashangilia holland sasa.
 
Safi sana Kibabu kijana Robben ungekuwa Mwafrica wangesema Una miaka 40yrs old bado mawili.
 
The unthinkable is happening!Robben makes it 2-1 for Holland
 
Mitaa ya Amsterdam, Rotterdam sasa itakuwa haishikiki kwa shamra shamra
 
Hahahahaaah,,,,,,,,,niwape pole spain in advance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…