World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Siwezi kushabikia goli ya kudanganya, costa amemuhadaa refa na mashabiki pia.

Huu udwanzi wa kudanganya ulifanya Sures akadaka na Ghana ikatolewa iliniudhi sana.

acha hizo,kachezewa rafu mguu wa kushoto baada ya kumfinya beki kwenye 18.
 
La pili arjen robben,,,,,,,,,hawa spain wameanza kuniudhi sasa,,,,,,,,nahamia kuwashangilia holland sasa.

Kumbe wewe ni bendera yafuata upepo.... basi kesho usikose kutushangilia lol
 
Nasema hawa Uholanzi wakitumia nafasi vizuri wanamkalisha huyu jamaa
 
Kumbe wewe ni bendera yafuata upepo.... basi kesho usikose kutushangilia lol
Mimi nina timu mbili tu katika haya mashindano, Ivory Coast na Italy,,,,,,,,,,,hawa wengine nachagua tu wa kumshangilia mechi ikianza.
 
Spain pamoja na kufungwa lakini wanacheza kitu kinaitwa "soka".
 
Back
Top Bottom